Monique Séka (amezaliwa 22 Novemba 1965; jina la utani la malkia wa muziki wa Afro-zouk) ni mwimbaji kutoka Ivory Coast. Kwa muziki mchanganyiko ambao anautengeneza, muziki wa Afro-zouk wa Monique Seka ni maarufu sana huko nchini kwake - Ivory Coast, Afrika, Caribbean na Bahari ya Hindi.[1][2]
Je,Monique Séka alizaliwa lini?
Ground Truth Answers: 22 Novemba 196522 Novemba 196522 Novemba 1965
Prediction: